Job Summary: Shirila la Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF) tunatangaza nafasi ya kujitolea (volunteer) katika ofisi yetu iliyopo Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma. Nafasi hii ni kwa wakazi wa Mpwapwa wenye elimu ya stashahada au shahada wanaopenda kuchangia maendeleo ya jamii yao, hasa katika masuala ya ulinzi na ustawi wa watoto, uwezeshaji wa...