The current global attention on girls and young women presents an ideal opportunity to increase efforts to improve the human rights of girls and young women in Tanzania.
Tanzania Ending Child Marriage Network (TECMN) sincerely appreciates its member organizations who have been instrumental in pushing forward the ending child marriage agenda in Tanzania.
Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi au wenzi wa kuamua wakati wa kupata mtoto, kupanga idadi ya watoto na hata kupanga wakati wa kuacha kuzaa. Hi ni haki ya msingi ya kila mtu bila kujali kama ameoa au kuolewa na kama amezaa au hajazaa
Asanteni kwa kuwa sehemu ya Mradi wa You(th)Care. Wakati wa ziara yetu ya ufuatiliaji hivi karibuni Wilayani Tarime, tulikutana na wahudumu wa afya katika ngazi ya jamii, watoa huduma za afya kwenye vituo vya afya, vijana waliofikiwa na waelimishaji rika, pamoja na ninyi waelimishaji rika ili kufuatilia maendeleo ya mradi na kusikiliza sauti zenu.
Afya ya Uzazi Ni hali ya kuwa sawa kimwili, kiakili na kijamii hasa katika mambo yanayohusiana na mfumo wa uzazi na utendaji kazi wake. Afya ya uzazi hujumuisha elimu ya hedhi, namna ya kujikinga na magonjwa ya zinaa, uzazi wa mpango n.k.
MET is a member of the MenEngage Africa (MEA) which is a regional network of MenEngage Global Alliance, and is made up of 22 country networks spread across East, South, West and Central Africa.